Updates & Events

Mashindano ya Qurani tukufu 2025

 

Mashindano ya Qurani Tukufu 2025, Mshindano hayo yatafanyika tarehe 23/03/2025 kwa lengo la kukuza ufahamu wa kitabu cha mwenyezimungu. Katika mashindano haya , uongozi wa Fahad Islamic Centre umechagua makundi kazaa kwa ushiriki huu ambayo ni:-
i. Watu wazima wa kiume na wakike na,
ii. Madereva bodaboda na bajaji
Kwa Taarifa zaidi wasiliana na uongozi wa kituo.
Mnakalibishwa.